Saturday, 3 May 2014

TUNAOMBA KURA ZENU WADAU WA AFATECOL

AFATECOL kama Familia moja.
Tunazidi kukukumbusha wewe kama mwana AFATECOL kuungana na Member mwenzetu  ALLY THABIT Kwa kutoa support ya kumpigia kura Member mwenzetu aliyeko kwenye mashindano ya MAISHA PLUS mwenye number ya ushiriki MP 02.

Mpigie kura mwenzetu kwa kuandika ujumbe wa maneno "MP 02" unatuma kwenda number +255689666662.unaweza kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo kwa kila baada ya saa moja,makato ni yakawaida.

AFATECOL familia moja,tumsapot mwenzetu kwa kumpigia kura ili aweze kuibuka mshindi wa MAISHA PLUS


"Engineering your dreams with us"

No comments:

Post a Comment