Saturday, 12 October 2013

African appropriate technology and engineering co.ltd (AFATECOL), Pamoja na huduma nyingine nyingi inatarajia kuzindua huduma ya Ramani za nyumba.

AFATECOL inawataalamu walio bobea katika uandaaji wa Ramani za nyumba kwa kutumia teknolojia za kisasa tena kwa bei nafuu.usikae mbali na facebook page yetu ili kuwahi ofa zitakazotolewa,kwakua wateja kumi wa mwanzo watapata punguzo la 50%.

AFATECOLtumepania kukupatia kile ambacho ni bora zaidi,cha kisasa na kwa haraka.

AFATECOL"we always excellent"

No comments:

Post a Comment